Kampuni ya ulinzi ya 24 Security Limited inatangaza nafasi za kazi (10) kwa askali wa silaha (5) na Wa mbwa (5) wenye uzoefu kufanya kazi jijini Dar es salaam na dodoma kuanza kazi mara moja. Waombaji lazima wawe wamepitia mafunzo.
Kwa mawasiliano;
Simu. 0774819712
Barua pepe: info@24security.co.tz
Kwa mawasiliano;
Simu. 0774819712
Barua pepe: info@24security.co.tz