Nafasi za TRA vipi?

Nafasi za TRA vipi?

Kwanza waliongeza mda wa kufanya application from 20 to 27 so deadline line bado!!!
 
Tukumbushane wana jf kama deadline bado nafasi gani walizitangaza? Kama kuna mtu anahiyo advert naomba anirushie
 
Tukumbushane wana jf kama deadline bado nafasi gani walizitangaza? Kama kuna mtu anahiyo advert naomba anirushie

Deadline ni kesho! Kwa nafasi zote we just dumbukia kwenye website yao fanya application!!
 
Watu wana mbwembwe humu eti tutawaita...haya bwana
 
Back
Top Bottom