pink-apple
Member
- Dec 28, 2012
- 20
- 9
Naomba kuuliza jamani zile nafasi za postal controllers za mwaka jana mwishoni ziliishia wapi?maana baada ya written ikawa kimya,au washaita oral?mwenye kujua anijuze please.....ASANTE
Naomba kuuliza jamani zile nafasi za postal controllers za mwaka jana mwishoni ziliishia wapi?maana baada ya written ikawa kimya,au washaita oral?mwenye kujua anijuze please.....ASANTE
mbona tulisha itwa kwenye oral tulifanyia pale posta house ilikua tarehe 8 january 2015,
ila sija jua kama majibu yalikuwa baada hiyi interview, kama kuna mtu labda anazewa kutuambia. Asante sana
Vipi haujaitwa mkuu