Nafasi za masomo kidato cha tano

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
879
Reaction score
814
Uongozi wa shule ya St. Marcus iliyopo Iwambi jijini Mbeya unatangaza nafasi za masomo kwa kidato cha tano kwa michepuo ya HGL,HKL na HGK.fomu za kujiunga na shule zinapatikana Shule Iwambi jijini Mbeya na Dar es salaam Msimbazi centre chumba namba 19
View attachment 2602774
 
Hii elimu ya kidato Cha 5 na 6 ingekuwa ni uamuzi wangu ingeondolewa, Haina faida inawapotezea watoto muda tu, imagine mtu amesoma commerce na book keeping miaka mi4 anataka kusomea uhasibu chuo, hiyo form 5 na 6 ya nn? Au IT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…