hizo zinateuliwa, na ili uteuliwe lazima ufike bei elekezi au uwe na mkubwa mwenye uwezo wa kumkolomea mkurugenzi.
ukuu wa shule ya msingi kianzio 800,000
sekondari 1,000,000
umek 1,000,000
utaaluma, vifaa na makolokolo yote 3,000,000
na uafisa elimu wilaya ni 5,000,000
kama unategemea utateuliwa kwa utendaji kazi tu bila kupambania hizo nafasi utapata ukiwa na miaka 54.
JIONGEZE, baada ya kuupata utaanza kuupondea ingawa wadau wanakuchora tu