Nafasi za kujitolea

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,645
wadau kama kinavyojieleza kichwa cha habari hapo juu mim ni kijana umri miaka 24,elimu diploma ya hr,nilikuwa naomba kujuzwa makampuni yenye nafasi za kujitolea kama temple niweze kufanya kazi huko au kama unayo unaweza kuni pm au kuwasiliana na mm 0659756647
maana kukaa home kiwango kinashuka
 
Kwenye RED ndiyo nini? Jaribu kuomba kufundisha shule za English Medium hata kwa kujitolea, Kada yako kuna watu wana Masters na bado wapo benchi, Sina nia ya kukukatisha tamaa ila nakupa hali halisi ili iliwezekana uanze kufanya mipango nje ya BOX.
 
wadau kama kinavyojieleza kichwa cha habari hapo juu mim ni kijana umri miaka 24,elimu diploma ya hr,nilikuwa naomba kujuzwa makampuni yenye nafasi za kujitolea kama temple niweze kufanya kazi huko au kama unayo unaweza kuni pm au kuwasiliana na mm 0659756647
maana kukaa home kiwango kinashuka

HR unashindwa kuandika kiingereza utaweza kupata kazi kweli? HR ni mtu anayeunganisha kampuni kwa lugha sanifu. Nenda tuition ya kiingereza kwanza, then njoo nikupe kazi.
 
Back
Top Bottom