Nafasi za kujitolea

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
238
178
NAFASI ZA KUJITOLEA

Je, wewe ni kijana uliyehitimu masomo yako kuanzia kidato cha sita (6) mpaka chuo?! Au bado ni mwanafunzi chuoni?! Je, Una ndoto kubwa na hamasa ya kutengeneza ajira yako kupitia shughuli za kilimo-biashara cha kisasa na biashara za vyakula, iwe kuanzia kuajiriwa kama mtalaamu hadi kufanya biashara yako mwenyewe?! Au ungependa kupata nafasi ya kufanya "field" yako/likizo ili kujenga uzoefu zaidi katika soko la ajira?!

Taasisi yako ya AfroGenius inakukaribisha sana kwa nafasi hizo za kujitolea.

Maelekezo:
Mwenye KUJITAMBUA
Unayependa KUJIFUNZA
MTATUZI WA CHANGAMOTO na si mlalamishi
Umri usiozidi miaka 35
Uwe kweli umeamua kujitolea
Uwe na uwezo wa kufanya kazi za kijamii.
Uwe na uwezo wa kufanya kazi katika kundi.
Uwe ni mkazi au unayesoma chuo kilichopo Dar Es Salaam
(Kwa wa mikoani unaweza kuomba na kujitambulisha kwa ajili ya mzunguko mwingine)
****
Andika jina lako kamili, umri, unakoishi, shughuli yako kwa sasa, ujuzi na uzoefu wako (kama upo)na maelezo mafupi kwa nini unapenda kujitolea yasiyozidi maneno 100 kisha Tuma
WhatsApp +255 656 030117. USIPIGE!
au afrogeniustanzania@gmail.com

Tangazo hili limetolewa tar. 17/4/2016
 
AHSANTE KAKA KWA TAARIFA
 
Kazi za hivi nyingi zinakuwa zinahusu kutembeza vyombo vya promotion mitaani.
 
Back
Top Bottom