Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

Itakuwa ya kutembeza vyombo vya nyumbani au kuuza sabuni na dawa za meno za promosheni!
 
Aiseee mm nimeshatuma cv tayar but nimejaribu kuichek kwenye mtandao hii kampuni cjaona chochote aisee tujuze inahusika na nini hasa
 
Tuma cv yako kwa glorytarimo@hotmail.com[/QUOT
Mm nina hard copy, ndo maana nkasema unielekeze nije moja kwa moja na vyeti vyangu pamoja na cv

Kumbe Wabongo Huwa Tunakosa Kazi Kwa Kujitakia Wenyewe Na Haswa Kwa UPOPOMPO Wetu. Umeshaambiwa Kama Upo Interested Tuma Email Kwao Ya Kujieleza Tu Na Sijaona Ni Wapi Wamesema Upeleke Cv. Tukikosa Ajira Tuwe Tunajichunguza Pia Na Sisi. Nimesikitika Mno!
 
We mburura nn huna kazi ya kufanya bora ukae kimya, hapa si sehem ya kukoment post za watu.
 
ni kweli kabisaa kama haisemwi ni ya kutembeza sabuni au kuuza vyombo, hivyo jua na wewe wewe jua na maranyingi huwa hawasemi ukifika pale ndo wanaanza mara oo tutakusomesha kiukweli inauzi, mweka tangazo jaribu kuweka ni aina ya kazi gani mwombaji anaenda kufanya
 
Back
Top Bottom