Twande
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 543
- 174
Nahitaji wafanyakazi kazi inahusiana na customer service? kuuza duka na zingine utaelezwa baada ya interview, kigezo kikubwa uaminifu, kujua mahesabu, shule ni an added advantage, umri vijana mpaka mtu mzima aliyestaafu lakini yuko friendly kufanya nae kazi, i mean sio kuja kuwa mzazi, ahsante, nipm kwa ajili ya mawasiliano au kunipa namba za simu za muhusika.