Nafasi za kazi

cashmoney

Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
89
Reaction score
31
Tunatafuta wahudumu wawili (2) wa night club wenye sifa zifuatazo :
  • Umri usiopungua miaka 18
  • Wawe Watanzania
  • Wawe wa jinsia ya kike
  • Wajue kuongea Kingereza na Kiswahili kwa ufasaha
  • Wawe na elimu (ujuzi) ya utoaji huduma ya vinywaji na vyakula kwa wateja (F&B customer services)
  • Wawe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja
  • Wawe na muonekano mzuri

Kwa wahitaji, wanaweza kuleta CV zao kupitia :

Club Manager - 0654 743 825
 

Daah mkuu ku-judge hapo pekundu watabandika picha kwenye CV nini!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…