Wanaitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula / Hotel
Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti itapendeza zaidi tuma kwa Barua people iliyo ambatanishwa hapo chini
Mahali : Dar es salaam, Kinondoni & Ubungo
Mawasiliano :
kecogrouplimited@gmail.com