Nafasi za kazi

hamadoly

Member
Jun 17, 2011
43
1
Natafuta kazi kwenye finance, marketing na HR department nina Advanced/National Diploma kwa kila field kutoka South African University Of Technology.
 
jipe moyo utapata fani unazo za kutosha jitahidi ku apply na hizi watu wa mungu wanazotusaidia kutuwekea katika blogu hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom