wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,948
I hope it is well with you
Kampuni ya Ujenzi na Telecom ya vijana wazalendo wa kitanzania ambayo inatoa huduma zenye ubora wa hali ya juu inapenda kuwatangazia nafasi za kazi kama ifuatavyo
1. Receptionist.
Nafasi 1.
Umri usiozidi miaka 25
Awe na angalau certificate in front office operations/customer care
2. Accountant.
Nafasi 1
Awe na Diploma/degree in accountancy, finance toka kwenye taasisi inayotambulika
Uzoefu mwaka (1) na kuendelea
3. Civil Engineer.
Nafasi 2
Uzoefu Mwaka 1. na kuendelea
4. Telecom Engineer
Nafasi 1
Uzoefu mwaka 1 na kuendelea
Mwisho wa kupokea maombi ni 15 June 2017
Maombi yatumwe kwenye email
ndotohutimia@gmail.com
All the best.
UPDATE
Asanteni Sana kwa walio respond kwenye tanzazo hili, maombi ni mengi. Tunashukuru
Mchujo mkali umeanza kufanyika. May the most qualified and luckiest person get the job
Hatapendelewa mtu, hata onewa mtu.
Long live JF