NAFASI ZA KAZI

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
376
127
TANGAZO

Mkuu wa chuo cha utalii (Njombe Institute of Tourism and Hotel Management) anawatangazia nafasi za Kazi katika fani zifuatazo:-

1. Teachers (tourism & tour guide)
2. Market Officers
3. Chef cookers
4. Receptionists
5. Secretaries
6. Security
7. House keeping
8. Lounder
9. Computer lab (supervisor) professional
10. Computer tec. (Professional)

Sifa za mwombaji

Teachers
1. Awe na cheti ngazi ya certificate au diploma na anauwezo mzuri wa kufundisha Tourism pamoja na tour guide. (Uzoefu ni sifa tu ya nyongeza)

Secretary, marketing, chef cooker, receptionist, house keeping, security and lounder

Awe amesomea na ana cheti au awe na uzoefu ( kama hana cheti awe na uzoefu ) uthibitisho kutoka alikowahi kufanyia Kazi ni muhimu sana.

Computer lab and tec zinajieleza. (Professionals)

Kwa wakazi wa Mkoa wa Njombe, fomu za maombi zinapatikana chuoni. Kwa wakazi wanaopatikana nje ya mipaka ya Njombe, fomu unaweza kutumiwa baada ya kufanya mawasiliano.

Kumbuka: mwisho wa kuchukia fomu za maombi ni tarehe 20/04/2017. Saa kumi jioni. Tarehe ya kufanyiwa usahili ipo kwenye fomu.

Kwa mawasiliano piga
Mkuu wa chuo 0762473873.
 
Mtu anaweza akatoa hela ya fomu na akakosa kazi na hali ya maisha inajulikana jamani,kwanini msipokee barua au cv au vyote kwa pamoja?
Ni ushauri tu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom