Nafasi za kazi

Kelvin isaya usiajiri ata mmoja apa..tangazo hawasomi mpaka mwisho wameishia kwenye mshahara tu TZ hamna wasomi jamani
 
Mkuu nimekupm
Pia nimetuma cv bt no reply
 
Email naipitia na naiona
 
bahati nzur nina kazi. vinginevyo hiyo nafas ya Mtendaji mkuu ingekuwa yangu manake nina sifa
n
 
Mm Niko mwanza huo mtonyo unaweza unaweza kunihusu??
 
Kwa nini nisiweze usanii mkuu kwani haikuwa kweli hizi kazi walioomba waliopata hizi nafasi hebu leteni mrejesho hapa tuweze ku-connect dots mara moja.
 
Fika ofisin uone kama hakuna walioajiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…