Nafasi za kazi zilizotangazwa na UTUMISHI tarehe 11-3-2016

Chwaka

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
204
49
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1).

Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 188 kwa ajili ya Wizara, Taasisi zinazojitegemea na mamlaka za Serikali za Mitaa kama inavyoonyesha hapa chini.

Soma zaidi: Nafasi za Kazi PSRS - Machi2016
 
Attachments

  • Nafasi za Kazi PSRS - Machi2016.pdf
    322.2 KB · Views: 237
niliomba sanaaaa kazi serikalini wakati wa utawala wa mkwele, njomba JAKWATA, yani miaka kumi sikuwai hata kuitwa, ngoja njaribu kwa MAKUFULI labda yatafunguka na kuniona na mimi jamani
 
Samahani wadau ,,

swali ....

ni lazima tuombe via Portal ya serikali ?? na je nikituma kupitia sanduku la posta itakataliwa au??
MAana hiki kipengele kimenitoa jasho kidogo kwenye kuelewa..

All applications must be sent through Recruitment Portal by using the following address; Tanzania (This address can also be found at PSRS Website, Click ‘Recruitment Portal’) ii.IMPORTANT: REMEMBER TO ATTACH YOUR APPLICATION LETTER. IT SHOULD BE ADDRESSED TO: THE SECRETARY, PRESIDENTS OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIET, P.O.BOX 63100, DAR ES SALAAM
 
Ninavyojua mm ni kwamba wanastate procedures za application clearly. Ukisoma kwenye job description pge ya kwanza unaona kama ni posta au online.
 
Back
Top Bottom