asante sana mkuuNamshauri bora atafute mwenyeji kwanza au atafute hotel inayotoa huduma ya makazi kwa wafanyakazi. Ni vizur akitafuta mtu wa kumuunganisha nae amtafutie sehem. akitegemea mwenyew atasumbuka mno.
Asiende kichwa kichwa kama hana mtu hata kupata chumba zenji kazi hasa ukiwa mktisto
Zanzibar kugumu sana ndugu kama huna mwenyeji pia mishahara ya huko sijui kama wameshajirekebishaKuna mdogo wangu anataka kwenda kuweka kambi Zanzibar ya mwezi mmoja atafute kazi kwenye mahotel au makampuni binafsi.
Msaada;
1.Vipi gharama za guest ukiwa huko maana hana mwenyeji
2.Upatikanaji wa kazi upoje na masilahi au ni kama bara
Karibuni kwa msaada wa mawazo
wanalipaje mkuuZanzibar kugumu sana ndugu kama huna mwenyeji pia mishahara ya huko sijui kama wameshajirekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifahamu ila kumbuka huko ni Mgodini,kufanya kazi maeneo hayo ukiwa na vyeti vyako tegemea muda wowote kuajiliwa mgodini Bulyanhuluwanalipaje mkuu
Duuh...mgodini tenaSifahamu ila kumbuka huko ni Mgodini,kufanya kazi maeneo hayo ukiwa na vyeti vyako tegemea muda wowote kuajiliwa mgodini Bulyanhulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni kweli ila kidogo kidogo siku hizi mentality inabadilika. Hata wakristo wanapata vyumba ila masharti na ukiwa unaingiza wanawake/wanaume mara kwa mara landloard mara anakutoa hata kama una mkatabaNamshauri bora atafute mwenyeji kwanza au atafute hotel inayotoa huduma ya makazi kwa wafanyakazi. Ni vizur akitafuta mtu wa kumuunganisha nae amtafutie sehem. akitegemea mwenyew atasumbuka mno.
Asiende kichwa kichwa kama hana mtu hata kupata chumba zenji kazi hasa ukiwa mktisto
Akipata kwenye hotel ya maana kiasi basi mambo yao si mabaya. Walitangaza minimum wages kuwa 300,000 tangu mwaka jana July. Ila bado vile vihotel vidogo vidogo vinalipa vinavyojiskiaZanzibar kugumu sana ndugu kama huna mwenyeji pia mishahara ya huko sijui kama wameshajirekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah, kwa biashara ya hotels Zanzibar ndio kwenyewe. Kama amesomea mwambie akutumie vyeti vyake na cv yake halafu wewe nitumie mimi PM kuna mchizi ntamtumia kama anahitaji mtu atamchukua na mwambie dogo asichoke kutafuta