Nafasi za kazi za ulinzi

Nafasi za kazi za ulinzi

LENJENTZ

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
69
Reaction score
10
Kampuni ya LENJEN SECURITY iliyopo Mbezi Beach -Samaki, inatangaza nafasi za kazi ya ULINZI kwa watu wenye uzoefu, wenye mafunzo ya mgambo,elimu ya form four, utambulisho wa makazi na uraia, wadhamini wa karibu wawili ambatanisha picha, anuani na namba za simu za wadhamini, picha za mwombaji nzima na passport size.

Nafasi ni chache watakaoomba mapema watapewa vipaumbele.

Maombi yote yaletwe na waombaji, ghorofa ya kwanza Samaki Wabichi House, opp Shamo Towers Mbezi Beach Dar-es-salaam. Kwa mawasiliano piga simu zifuatazo,

0655 162466 na 0714 316800

Karibuni sana.
 
Tunashukuru sana kesho mapema vijana wangu watatu watakuja hapo na docs kamili, shukrani sana LENJEN.

Haya watanzania ajira hizo tuache uvivu twendeni malindoni tukafanye kazi kwa uaminifu.
 
Mshahara upoje mkuu na kama sijapata mafunzo ya mgambo naweza kuomba kazi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mshahara kias gani aiseee na je kama cjapitia mgambo ajira nitapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom