Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,720
- 2,393
Apply mapema ndugu zangu
Apply mapema ndugu zangu
![]()
Kama una vigezo tuma tu mkuu.. Hivi vikazi vinavotangazwa kihasarahasara ndo vinakuwaga na pesaAsee hicho kizungu sasa kwenye tangazo!.."must hava" all applicants they supposed...tangazo linataka mhasibu halafu unaambia utume vyeti vya bachelor of arts...
.halafu unatuma kwenye email ya gmail...huu ni usanii wa waziwazi
Correction..Asee hicho kizungu sasa kwenye tangazo!.."must hava" all applicants they supposed...tangazo linataka mhasibu halafu unaambia utume vyeti vya bachelor of arts...
.halafu unatuma kwenye email ya gmail...huu ni usanii wa waziwazi
Possible mkuu, Kama wangekuwa wasanii wasingekomalia kwenye CPAKama una vigezo tuma tu mkuu.. Hivi vikazi vinavotangazwa kihasarahasara ndo vinakuwaga na pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anuani yao , ni IPI maana najaribu kuwaserch mtandaoni tzcpca, haipo. Ntapataje adres na JINA lao.
Halafu CPA wameandika C.P.AAsee hicho kizungu sasa kwenye tangazo!.."must hava" all applicants they supposed...tangazo linataka mhasibu halafu unaambia utume vyeti vya bachelor of arts...
.halafu unatuma kwenye email ya gmail...huu ni usanii wa waziwazi
Halafu CPA wameandika C.P.A
ACCA wameandika A.C.C.A