ANATAFUTWA MWALIMU WA SOMO LA VOCATIONAL SKILLS. Awe na sifa zifuatazo
1. Awe na cheti cha uwalimu/ ikiwezekana diploma
2. Awe na uwezo wa kuzungumza kiingereza kiufasaha
3.Awe na uwezo wa kuchora michoro midogo midogo
4. Awe anaishi Dar es Salaam.
Kwa mawasiliano piga namba: 0766407153