Hi!
Kaka yangu ana mpango wa kufungua office ya ushonaji, maandalizi karibia yote tayari imebaki human resources.
Nikiwa kama partner kwenye hiyo business tunatafta watu wafatao.
Bookkeeper:
· awe amemaliza atleast form four na angalau C ya hesabu.
· Awe anaweza kutumia computer
Washonaji (3)
· Awe anajua kushona na kudarizi nguo za kike na za kiume
· Awe anajua kutumia manual na automatic sewing mashines
· Awe anaweza kubuni mitindo mbalimbali ya nguo.
· Awe anaweza kutumia computer au awe tayari kujifunza.
Afisa masoko (1)
· Awe amemaliza atleast form six
· Awe na uwezo wa kushawishi wateja
· Awe msafi wa mwili na mavazi
· Awe anajua kutumia computer au awe tayari kujifunza.
· Awe na leseni ya udereva.
Designer & Supervisior (1)
· Awe amemaliza atleast form six
· Awe na uwezo wa kuongoza/kusimamia
· Awe na uwezo wa kubuni mitindo mbali mbali ya nguo
· Awe na uwezo wa kutumia computer
Office attendant (1)
· Awe msafi
· Awe mcheshi na mkarimu
Mshahara ni negotiable, lunch itatolewa ofsn plus medical allowance. Location ya ofisi itatangazwa. Maombi yote yatumwe kwa
husnatty@yahoo.com
Kwa posts za ushonaji na designer waambatanishe na atleast picha mbili ya kazi walizowahi kufanya. Unaweza KuniPM kama unahitaji maelezo Zaidi.