Yafuatayo ni matangazo ya kazi za muda kipindi hiki cha uchaguzi mdogo wa udiwani
Matangazo ya maeneo mengi yameandika muda wa mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11/11/2017
Lakini mimi ninashauri yule mwenye nia ya kuomba atume leo hii (Ijumaa ya leo)-asilaze zege, kwa sababu tarehe 11/11/2017 ni Jumamosi na sina uhakika kama watu wa halmashauri huwa wanakua ofisini siku hiyo.
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU Msimamizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 24
Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 40
Karani mwongozaji wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 24
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa na Nusu (9:30) Alasiri
Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
Msimamizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 11
Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 22
Karani mwongozaji wapiga kura-Nafasi 11
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa Kamili (9:00) Alasiri Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA Msimamizi mkuu wa kituo-Nafasi 41
Wasimamizi wasaidizi-Nafasi 82
Makarani waongozaji-Nafasi 41
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa na Nusu (9:30) Alasiri Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAULI YA MANISPAA YA IRINGA Msimamizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 25
Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 50
Karani mwongozaji wa kituo cha kupigia kura-nafasi 25
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa Kamili (9:00) Alasiri Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA
Msimamizi wa kituo
Msimamizi msaidizi na. 1 wa kituo
msimamizi msaidizi na. 2 wa kituo
Karani mwongozaji wapiga kura (Direction Clerk)
Deadline iliyo andikwa kwenye matangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa Na Nusu (9:30) Alasiri Kutazama matangazo ya halmashauri ya jiji la mwanza pakua nyaraka za halmashauri hii hapo chini note: halmashauri ya jiji la mwanza hawaja specify idadi ya nafasi, ila zitakuwa ni nyingi