Nafasi za kazi ya muda kipindi hiki cha Uchaguzi mdogo wa Madiwani

Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
3,346
4,613
  • Yafuatayo ni matangazo ya kazi za muda kipindi hiki cha uchaguzi mdogo wa udiwani
  • Matangazo ya maeneo mengi yameandika muda wa mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11/11/2017
  • Lakini mimi ninashauri yule mwenye nia ya kuomba atume leo hii (Ijumaa ya leo)-asilaze zege, kwa sababu tarehe 11/11/2017 ni Jumamosi na sina uhakika kama watu wa halmashauri huwa wanakua ofisini siku hiyo.
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU
Msimamizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 24
Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 40
Karani mwongozaji wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 24
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa na Nusu (9:30) Alasiri
Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini


NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
Msimamizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 11
Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 22
Karani mwongozaji wapiga kura-Nafasi 11
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa Kamili (9:00) Alasiri
Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini


NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA
Msimamizi mkuu wa kituo-Nafasi 41
Wasimamizi wasaidizi-Nafasi 82
Makarani waongozaji-Nafasi 41
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa na Nusu (9:30) Alasiri
Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini



NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAULI YA MANISPAA YA IRINGA
Msimamizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 25
Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 50
Karani mwongozaji wa kituo cha kupigia kura-nafasi 25

Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa Kamili (9:00) Alasiri
Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini


NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA
Msimamizi wa kituo
Msimamizi msaidizi na. 1 wa kituo
msimamizi msaidizi na. 2 wa kituo
Karani mwongozaji wapiga kura (Direction Clerk)
Deadline iliyo andikwa kwenye matangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa Na Nusu (9:30) Alasiri
Kutazama matangazo ya halmashauri ya jiji la mwanza pakua nyaraka za halmashauri hii hapo chini
note: halmashauri ya jiji la mwanza hawaja specify idadi ya nafasi, ila zitakuwa ni nyingi


Pakua nyaraka zifuatazo kusoma matangazo


 

Attachments

  • halmashauri_ya_wilaya_ya_tunduru.pdf
    882 KB · Views: 92
  • halmashauri_ya_manispaa_ya_lindi.pdf
    179.7 KB · Views: 192
  • halmashauri_ya_jiji_la_arusha.pdf
    1.6 MB · Views: 90
  • halmashauri_ya_manispaa_ya_iringa.pdf
    1.5 MB · Views: 79
  • namba1_halmashauri_ya_jiji_la_mwanza.pdf
    146.9 KB · Views: 116
  • namba2_halmashauri_ya_jiji_la_mwanza.pdf
    160.3 KB · Views: 141
  • namba3_halmashauri_ya_jiji_la_mwanza.pdf
    140.5 KB · Views: 146
  • namba4_halmashauri_ya_jiji_la_mwanza.pdf
    143.8 KB · Views: 157
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom