Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,346
- 4,614
- Yafuatayo ni matangazo ya kazi za muda kipindi hiki cha uchaguzi mdogo wa udiwani
- Matangazo ya maeneo mengi yameandika muda wa mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11/11/2017
- Lakini mimi ninashauri yule mwenye nia ya kuomba atume leo hii (Ijumaa ya leo)-asilaze zege, kwa sababu tarehe 11/11/2017 ni Jumamosi na sina uhakika kama watu wa halmashauri huwa wanakua ofisini siku hiyo.
Msimamizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 24
Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 40
Karani mwongozaji wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 24
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa na Nusu (9:30) Alasiri
Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
Msimamizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 11
Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 22
Karani mwongozaji wapiga kura-Nafasi 11
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa Kamili (9:00) Alasiri
Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA
Msimamizi mkuu wa kituo-Nafasi 41
Wasimamizi wasaidizi-Nafasi 82
Makarani waongozaji-Nafasi 41
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa na Nusu (9:30) Alasiri
Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAULI YA MANISPAA YA IRINGA
Msimamizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 25
Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura-Nafasi 50
Karani mwongozaji wa kituo cha kupigia kura-nafasi 25
Deadline iliyo andikwa kwenye tangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa Kamili (9:00) Alasiri
Kutazama tangazo hili pakua nyaraka ya halmashauri hapo chini
NAFASI ZA KAZI KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA
Msimamizi wa kituo
Msimamizi msaidizi na. 1 wa kituo
msimamizi msaidizi na. 2 wa kituo
Karani mwongozaji wapiga kura (Direction Clerk)
Deadline iliyo andikwa kwenye matangazo: Tarehe 11/11/2017 Saa Tisa Na Nusu (9:30) Alasiri
Kutazama matangazo ya halmashauri ya jiji la mwanza pakua nyaraka za halmashauri hii hapo chini
note: halmashauri ya jiji la mwanza hawaja specify idadi ya nafasi, ila zitakuwa ni nyingi
Pakua nyaraka zifuatazo kusoma matangazo
Attachments
-
halmashauri_ya_wilaya_ya_tunduru.pdf882 KB · Views: 92
-
halmashauri_ya_manispaa_ya_lindi.pdf179.7 KB · Views: 192
-
halmashauri_ya_jiji_la_arusha.pdf1.6 MB · Views: 90
-
halmashauri_ya_manispaa_ya_iringa.pdf1.5 MB · Views: 79
-
namba1_halmashauri_ya_jiji_la_mwanza.pdf146.9 KB · Views: 116
-
namba2_halmashauri_ya_jiji_la_mwanza.pdf160.3 KB · Views: 141
-
namba3_halmashauri_ya_jiji_la_mwanza.pdf140.5 KB · Views: 146
-
namba4_halmashauri_ya_jiji_la_mwanza.pdf143.8 KB · Views: 157