Raymond Chanzi
Member
- Oct 18, 2015
- 12
- 3
Anahitajika kijana wa kazi za lodge,mwenye umri usiozidi miaka 24 na awe anajua kusoma na kuandika. Lodge ipo bagamoyo,Kwa mawasiliano zaidi
Makos Manager: 0692778072
Makos Manager: 0692778072
Anahitajika kijana wa kazi za lodge,mwenye umri usiozidi miaka 24 na awe anajua kusoma na kuandika. Lodge ipo bagamoyo,Kwa mawasiliano zaidi
Makos Manager: 069277807
nimeuliza nahisi amejibu ndivo sivyo mods wameondoa coment yake asanteni maana leo nimeamka na wazim nadhani ningekula ban saa hiziduh sasa hapo lodge anahitajika mtu wa kufanya kazi ipi ?
hebu weka tangazo wazi ilo asije cook kumbe nyie mnamtaka waiting staff