Menapitatu
Senior Member
- May 12, 2013
- 195
- 86
Wadau wa JF habari naleta kwenu ombi langu la mtu yeyote atakaeweza kunisaidia kupata kazi viwandani kwa hapa Dar, kazi iwe yoyote kiwanda chochote nifanye kazi kama kibarua
Nenda coral ukajaribu ila kwa siku ni elfu 6500 na chakula cha mchana bure,kuna kazi ya udereva,uchanganyaji rangi,ubebaji mizigo na usafirishaji na usambazaji kila kazi ina malipo yake.
Samahanini kwanza. Mliichagua CCM tena au mlijaribu upande wa pili?
duu! hapa kazi tu.
wengine pitieni hapo kioo limited njia moja na coral
Nenda coral ukajaribu ila kwa siku ni elfu 6500 na chakula cha mchana bure,kuna kazi ya udereva,uchanganyaji rangi,ubebaji mizigo na usafirishaji na usambazaji kila kazi ina malipo yake.
Wacha upimbi ww unakuwa Kama mwanmk watu wanatafuta kazi una leta upimbi wako chadem ndio wanaweza kuleta kazi kwa kila mtanzania .