Nafasi za kazi viwandani Mbeya

Nafasi za kazi viwandani Mbeya

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
1,251
Reaction score
710
Habari zenu wadau wa jf

Nina mdogo wangu yuko mbeya wa kiume amemaliza chuo kikuu fani ya accounting , nilikuwa naomba kama kwa watu wowote wa mbeya ambao wanaweza kumsaidia kupata hata kibarua viwandan au kazi hata ya kujitolea mbeya katika viwanda au taasisi yoyote mbeya wanisaidie maana naona dogo anatia huruma sana , mimi mwenyewe najitahidi kumtafutia ,,hivyo basi atakaye fanikiwa kumpatia nafasi hata ya kibarua huko viwandani tampatia kitu fulani kama cha kunisaidia

kwa mawasilano
josephmaembe2015@gmail.com
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 23,nimehitim diploma ya public procurement and supply management.natafuta kazi ninauzoefu kupitia field na research .Niko tayari kufanya kazi popote.mawasiliano yangu.0755996817.ntaashukuru sana maana naanza kukata tamaa.mungu awabariki sana
 
wenzako wana masters unakata tamaa mapema hv jiajl uksubl ajla utaisoma namba
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 23,nimehitim diploma ya public procurement and supply management.natafuta kazi ninauzoefu kupitia field na research .Niko tayari kufanya kazi popote.mawasiliano yangu.0755996817.ntaashukuru sana maana naanza kukata tamaa.mungu awabariki sana

Unaona sifa kusema unaanza kukata tamaa?
 
Si vyema kuwakatisha tamaa,ni kuwaelekeza nn wanatakiwa kufanya.

Ndugu kutafuta kaz sawa na kuwinda,chukua bunduki yako iwe full loaded,ingia msituni.
Nashaur muwe mnapitia sana mitandao kama zoom,brighten monday,3w jobs na website za makampuni mbali mbali kama,tbl,nmb,crdb,nbc,sbl,mbeya cement,twiga cemnt,tanga cement n.k .makampuni yapo kibao,peleka cv yako nzur barua safi inayoshawish.
Jenga mahusiano mazur na watu sio matus tu humu jf.waombe links,humu tuna watu wa aina mbalimbali holding different posts,rafik awe rafik kiushaur tu sio rafiki bar.kila rakher
 
Back
Top Bottom