MTOTO YATIMA
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 147
- 58
- Thread starter
- #21
Wanatakiwa wanilipe tu kwa kutembelea website kila siku kaahHahahaaaa. Umekuwa kama mimi.
Embu ni pm namba yako ndugu ili ikitokea tushtuane
Wanatakiwa wanilipe tu kwa kutembelea website kila siku kaahHahahaaaa. Umekuwa kama mimi.
Embu ni pm namba yako ndugu ili ikitokea tushtuane
Ingekuwa you tube tungekuwa tunawaongezea viewers dailyWanatakiwa wanilipe tu kwa kutembelea website kila siku kaah
Mheshimiwa uliye veta ebu tujuze yanayojiri huko HQ mana kila siku ni kutembelea website ya vetaNipo VETA, bado mkuu, , uliomba nafasi gani? maana waweza kuwa hatari kwangu(just a joke)
Wakuu mbona doro sana jamanHahahaaaa. Umekuwa kama mimi.
Embu ni pm namba yako ndugu ili ikitokea tushtuane
Nipo VETA, bado mkuu, , uliomba nafasi gani? maana waweza kuwa hatari kwangu(just a joke)
mimi kesho nitatimba pale chang'ombe kujua kulikoni afu baada ya hapo nitaleta mrejeshoNaomba kuuliza kuna yeyeote mwenye habari kuhusu kuitwa kwenye interview kwa nafsi zilizo tajwa hivi majuzi