MTOTO YATIMA
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 147
- 58
Naomba kuuliza kuna yeyeote mwenye habari kuhusu kuitwa kwenye interview kwa nafsi zilizo tajwa hivi majuzi
Nipo VETA, bado mkuu, , uliomba nafasi gani? maana waweza kuwa hatari kwangu(just a joke)
hahaha ww ni mwalimu mechanics as I can seeNipo VETA, bado mkuu, , uliomba nafasi gani? maana waweza kuwa hatari kwangu(just a joke)
Hata hivyo sijaomba kufundisha kiswahiliUna uzoefu wa Miaka 3? Sio kwa Kiswahili hicho!
Sijaomba kufundisha Kiswahili fani yangu na kiswahli ni mbari kabisaInterview itakuwa ya kuandika kwa usahihi sentensi zenye maneno yanayoishia na li na ri.... Kwailo utakuwa ushafeli
Tunapaswa kuwa wavumilivu mpka lini mana bajeti tayr imepitaSubiri tu mambo bado,ndo kwanza tunachambua barua
Duu jamaa unazidi kuharibu halo kwenye "ri na li" hahahahahaSijaomba kufundisha Kiswahili fani yangu na kiswahli ni mbari kabisa
haya mkuu nimekuskiaDuu jamaa unazidi kuharibu halo kwenye "ri na li" hahahahaha
Jaman kulikoni Veta mbona kimya sana? wamesha schedule interview?haya mkuu nimekuskia
Mambo mtoto yatima.Jaman kulikoni Veta mbona kimya sana? wamesha schedule interview?
mana cyo kwa ukimya huu mm kila siku na website ya Veta kama nalipwaMambo mtoto yatima.
Tupeane updates kuhusu veta
Hahahaaaa. Umekuwa kama mimi.mana cyo kwa ukimya huu mm kila siku na website ya Veta kama nalipwa