Nafasi za kazi utumishi

Nafasi za kazi utumishi

nikikosa hapa nina gundu siajiriwi tena interview kwa wale wenye uzoefu zinakuaga mwezi wa ngapi
 
mh hiyo deadline inanipa shaka....!

kwa nini naheshimu sana mawazo ya jamii member coz bnilitaka kutapeliwa kama sio angalizo la jf kuhusu appraisal hotel bagamoyo hofu yako ipo wapi
 
Kaka hapo ni wenye masters na ma phd na kazi nyingi ni re advertised buta jaribu bahati kuna moja nimeona hapo sekretari na uzoefu miaka kibao so wish u gud luck
 
mh hiyo deadline inanipa shaka....!
Isikupe shaka mi nahic interview haitachukua muda mrefu baada ya deadline ndio maana hawajaweka muda mrefu sana hata kama wanataka kuchakachua au kama wana watu wao tayari kwa hii hapana kwani nafac ni nyingi sana jaribu ndugu yangu usikate tamaa ipo siku utakuja humu na kusema Yesu amekupa kazi!
 
Bwana Yesu asifiwe
 
ninachotaka mimi ni kuingia kwenye system tu haya mambo mbona ndugu zangu yatakwisha vinafasi vya kazi vikitokea tutajulishana tu hata kwa sms
 
Hope shortlisting, interview and selection will be fair!!! No nepotism and technical know who!!! Hoping!!
 
Kaka hapo ni wenye masters na ma phd na kazi nyingi ni re advertised buta jaribu bahati kuna moja nimeona hapo sekretari na uzoefu miaka kibao so wish u gud luck

aise wewe jamaa kazi yako ni kukatisha tamaa tu humu jf mbona kuna nafasi tena zinaitaji watu wengi na bila uzoefu hapo
 
mbona deadline tarehe 9 march..inakuaje apo?
xii. WAAJIRI WOTE WALIOPO NJE YA DAR ES SALAAM WANAOMBWA
KUSAMBAZA MATANGAZO HAYA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO NA
MAENEO MENGINE.
xiii.
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 9 Aprili, 2013
xiv.
Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira
HAURUHUSIWI.
 
aise wewe jamaa kazi yako ni kukatisha tamaa tu humu jf mbona kuna nafasi tena zinaitaji watu wengi na bila uzoefu hapo

halo kweli huyu jamaa anakatisha tamaa sana coz hapo ni qualification 2!
 
kwa nini naheshimu sana mawazo ya jamii member coz bnilitaka kutapeliwa kama sio angalizo la jf kuhusu appraisal hotel bagamoyo hofu yako ipo wapi

deadline ni tar. 9th march 2013...sasa cjui wanamaanisha 9th april coz ztakuwa 2 weeks baada ya tangazo kutoka...
 
mbona deadline tarehe 9 march..inakuaje apo?
Nimewasiliana na jamaa yangu yupo

MOEVT nao wametoa nafac za kazi nikamuuliza kwa nini mmetupiga changa la macho mnatoa nafas trh 26 march na deadline thr 9 machr? akanijibu itakuwa ni makosa ya mchapaji hakuna kitu kama hicho kwani wao walipeleka matangazo tume ya ajira last week iweje deadline iwe hivyo? itakuwa ni makosa ya mwandishi na ni kwenye tangazo la kiingereza tu ndio wamekosea!
 
Nimewasiliana na jamaa yangu yupo MOEVT nao wametoa nafac za kazi nikamuuliza kwa nini mmetupiga changa la macho mnatoa tangazo trh 26 March na deadline thr 9 March? akanijibu itakuwa ni makosa ya mchapaji hakuna kitu kama hicho kwani wao walipeleka matangazo tume ya ajira last week iweje deadline iwe hivyo? itakuwa ni makosa ya mwandishi na ni kwenye tangazo la kiingereza tu ndio wamekosea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom