Mkuu maelezo yako hayajajitosheleza, utafiti katika kada ipi na watu wa aina gani wanaohitajika? Funguka zaidiMT EAST AFRICA Ltd tunatafuta graduates/ Form 6 leavers kwa ajili ya kufanya utafiti Tanzania. Tuma maombi pamoja na wasifu wako (CV) kwenye email midastea@gmail.com cc hearingtz@hotmail.com. Malipo Tsh20,000 kwa siku, posho (nauli na kujikimu).
MT EAST AFRICA Ltd tunatafuta graduates/ Form 6 leavers kwa ajili ya kufanya utafiti Tanzania. Tuma maombi pamoja na wasifu wako (CV) kwenye email midastea@gmail.com cc hearingtz@hotmail.com. Malipo Tsh20,000 kwa siku, posho (nauli na kujikimu).
Tuambia na gharama za training ili tuwape kabisa wadogo zetu waje nazo coz najua mwisho wa siku lazima mtaawambia walipie training
MT EAST AFRICA Ltd tunatafuta graduates/ Form 6 leavers kwa ajili ya kufanya utafiti Tanzania. Tuma maombi pamoja na wasifu wako (CV) kwenye email midastea@gmail.com cc hearingtz@hotmail.com. Malipo Tsh20,000 kwa siku, posho (nauli na kujikimu).
Na kwa hizo mail! mkuu umepatia! Utafiti gani ambao hauwekwi bayana! kama ni wa kitabibu na wa HGL waje!
Wonders will never end in mwigululand!
Dah nikwel mbona hatujulishi.mkuu mbona kimya tushatuma sana hiyo maemail hata kutujulisha kama umepata? bless up!