Nafasi za kazi UDSM

Nafasi za kazi UDSM

Kwa nini wanasoma muda mrefu sana? Law na other social sciences ni miaka mitatu tu Mimi ninavyoona
Swali hili tuliwahi uliza darasani na huyu wa kuitwa palamagamba kabudi alitoa majibu kwamba mwaka 1998 ndo ulianza huu utaratibu wa kusoma Law miaka 4 kwa Udsm, lengo lilikua ni kufidia ule mwaka mmoja wa internship kwenye ofisi ya mwanasheria mkuu kwaio mwaka mmoja extra ulikua unamfanya mwanafunzi ajiandae kivitendo zaidi maana kipindi hicho hakukua na law school, kimsingi mwaka 4 hakuna vipindi vingi unaweza soma kipindi kimoja saa 2 asubuhi (optional) na kipindi kingine ni saa 1 usiku, au kusiwe na vipindi siku 2 mfululizo...swali lingine likaja Law School imeshaanzishwa kwanini msifute huo mwaka mmoja..akatupiga siasa darasani na hatukuelewa..ila kimsingi degree ya miaka 4 inakubalika sana kwenye taasisi za kimataifa i.e unhcr etc ingawa muda unapotea mwingi binafsi sijawahi kujutia..kusoma miaka hio natumaini umenielewa maana nimeandika gazeti...
 
Social science usome miaka minne? Kuna nini cha ziada? Mimi naona hata miaka miwili tu ukisoma inatosha kusomq vitu core vingine utajifunza kwenye kazi
 
Hivi kwenye sheria kitu gani unaweza kujifunzia kazini bila kua na msingi? Ingelikua umesoma sheria walau tungeelewana, sheria lazima usome darasani ili uje kupractise mahakamani au in house...na sheria ni dynamic sio static
 
Walipigiwa simu? Maana kwenye website hakuna hilo tangazo la kuitwa kazini
Ndio hapo sasa maana hata Mimi navyojua lazima wangetoa majina kwenye website yao, udsm wanautaratibu mmoja hata wakikupigia simu lazima watoe majina kwenye tovuti yao kwa msisitizo. OK pia naomba kujua maana nao Chuo cha MUST walitoa tangazo la transfer tarehe 25/06/2020 deadline ilikuwa tarehe 8/07/2020 Hadi LEO nao kimya au nao ndio washaita watu kimya kimya??

Sent from my P35 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwenye sheria kitu gani unaweza kujifunzia kazini bila kua na msingi? Ingelikua umesoma sheria walau tungeelewana, sheria lazima usome darasani ili uje kupractise mahakamani au in house...na sheria ni dynamic sio static

Sio kweli Mimi kwa mtazamo wangu sheria ni baadhi ya kozi tu mfano criminal law,criminal procedure, civil procedure, tort,family law,international law,human Rights, companies law,administrative law,constitutional law,law of contract, land law,jurisprudence, mirathi law, alternative dispute resolution, hayo masomo ndiyo msingi wa sheria mtu yoyote akishayajua vizuri hayo hata kama ni ndani ya mwaka mmoja Mimi kwangu tayari huyo ni mwanasheria
 
Sasa kwaio unategemea unaweza utaweza soma kozi zote hizo ndani ya mwaka mmoja? Foundation unaijenga vipi? Naona umesahau kozi ya msingi ambayo ni Legal Method, hata kama ungesoma hizo kozi mwezi mmoja mmoja non stop mwaka mzima huwezi kumaliza wala kuelewa ndo maana unaona civil procedure, jurisprudence zinafundishwa miaka ya mwishoni chuoni..hata miaka miwili haitoshi kusoma hivyo vitu sasa uta major vipi mkuu mwaka mmoja
 
Mwaka mmoja vinatosha kabisa semester ya kwanza unasoma masomo yafuatayo law of contract, sale of goods, legal method,criminal law,civil procedure,family law,companies law,constitutional law na administrative law
Semester ya pili mnasoma
private international law,probate,torts,local government law,human Rights
Semester ya 3
Research proposal, Research report,jurisprudence,public international law, land law.
Baada ya semester 3 ukifaulu unapewa Degree ya sheria

Then unaingia Law School kujifunza practical aspect of law then ukifaulu unakuwa wakili kama Lissu
Mambo yasiwe mengi.
 
Ngoja nikubaliane na wewe mkuu swali kama degŕee ya sheria ni mwaka mmoja je diploma ya sheria na certificate yake itakua ya muda gani?
 
Kwa kuwa degree ni semester 3 yaani
Basi diploma iwe semester 2
Certificate iwe miezi 6 tu
 
Mimi nasemea wale walioomba kuhamia kufanya kazi udsm kutoka taasisi nyingine za serikali

Nimegundua kulitolewa matangazo mengi ya hizo nafasi za kuhamia, mimi niliyokua naongelea ni ile ambayo tangazo lake lilitoka June 23. Kwenye tovuti naona kuitwa usaili kwa kada tofauti na zile za tangazo hilo, japo nao ni za kuhamia.
 
Swali hili tuliwahi uliza darasani na huyu wa kuitwa palamagamba kabudi alitoa majibu kwamba mwaka 1998 ndo ulianza huu utaratibu wa kusoma Law miaka 4 kwa Udsm, lengo lilikua ni kufidia ule mwaka mmoja wa internship kwenye ofisi ya mwanasheria mkuu kwaio mwaka mmoja extra ulikua unamfanya mwanafunzi ajiandae kivitendo zaidi maana kipindi hicho hakukua na law school, kimsingi mwaka 4 hakuna vipindi vingi unaweza soma kipindi kimoja saa 2 asubuhi (optional) na kipindi kingine ni saa 1 usiku, au kusiwe na vipindi siku 2 mfululizo...swali lingine likaja Law School imeshaanzishwa kwanini msifute huo mwaka mmoja..akatupiga siasa darasani na hatukuelewa..ila kimsingi degree ya miaka 4 inakubalika sana kwenye taasisi za kimataifa i.e unhcr etc ingawa muda unapotea mwingi binafsi sijawahi kujutia..kusoma miaka hio natumaini umenielewa maana nimeandika gazeti...
Ni ulaji wa ada tu
 
Back
Top Bottom