Mimi nadhani hawa wameitwa kwenye interview ya kuandika inaitwa aptitude test. Hii kama sikosei huwa ni maswali ya common sense ambayo hata babu yako aliye kijini ambaye hajui kusoma wala kuandika, ukimtafsiria kwa kilugha chenu maana ya swali, anaweza akakusadia kulijibu kwa ufasaha zaidi kama yupo kwenye chumba cha mtihani, pengine kuzidi hata wewe mwenyewe