Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,444
Tusikate tamaa wakuu kwa haya makwazo tuyapitiayo watoto wa wakulima tusiokuwa na wajomba,mashangazi n.k humo ktk hii mifuko ya jamii pindi tuombapo ajira.
Tusipoomba ndio itakuwa rahisi sana kwa wao kuwekana kiulani. Mana mwisho wa siku watakuwa wenyewe tu walioomba.
Aluta Kontinua #mpaka kieleweke..
Nilihudhuria interview fulani hivi wiki moja unusu iliyopita. Mmoja wa interviewee aliletwa na gari la shirika hilo hilo tunalokwenda kufanyiwa interview!!
Mbaya zaidi humo humo ndo walibeba papers za written interview ambazo tungefanya dakika chache zilizofuata coz walikodi ukumbi mbali kidogo na ofisi zao! Mi nilipoona yule interviewee (mwanzoni nilijua staff mwenzao) anakuja kufanya ile paper nikajua hapa hamna kitu, anasindikizwa mtu tu hapa!!
Hii nchi haina maana kabisa kwa sasa