utumishi hawaangalii GPA ,hata mwenye 2.0 anaitwa kwa interviewInaezekana mana nasikiaga huku sehemu wanazingatia sana GPA,tuanzie hapa kwanza tutajua tu ,kuna mtu system imemkatalia kupply na ana GPA ya kuanzia upper second?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilituma hii changamoto ya kushindwa ku apply katika system ya utumishi sehem ya feedback,Inaezekana mana nasikiaga huku sehemu wanazingatia sana GPA,tuanzie hapa kwanza tutajua tu ,kuna mtu system imemkatalia kupply na ana GPA ya kuanzia upper second?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hiyo sehemu ya Academic qualifications haina option ya kudelete,nilichofanya mimi niliwapigia kwenye namba zao huduma na wao wakanisadia kudelete.Nilituma hii changamoto ya kushindwa ku apply katika system ya utumishi sehem ya feedback,
Leo nimejaribu imekubali...sasa sijui walifanyia kazi au ni system faults tu ilikuwa japo ilinigomea kitambo kidogo...ila sehem ya academic qualifications ndo bado hakuna optin ya DELETE iliyopo ni ku view na edit only.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana ngoja niwapigieNi kweli hiyo sehemu ya Academic qualifications haina option ya kudelete,nilichofanya mimi niliwapigia kwenye namba zao huduma na wao wakanisadia kudelete.
Unawapata kwa namba 0735398259 na 0784398259
Sent using Jamii Forums mobile app
ajiraportal.go.to Funguaa Account kwa kuanzia registration, weka ambayo ni active Baadae ingia kwa email ,activate account then endelea na hatua zingineeNaomba nifahamishwe namna ya kuapply au kama kuna email yeyote ya kutuma maombi tafadhali
Sent from my iPhone using JamiiForums
waliopata au walioitwa interview? bado hawajaita labda kesho watatoa majina au next week tuendelee kusikilizia mkuuMrejesho kwa walio pata nafasi Hapo T.R.A jmn, maana imekuwa mda kdg tangu kuwekwa tangazo Ajira Porta...
My sister ka apply hizi nafasi naomba Mungu aitwe interview nilimsaidia ku applywaliopata au walioitwa interview? bado hawajaita labda kesho watatoa majina au next week tuendelee kusikilizia mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ue unasoma comments za juu kwanzahivi hizi walishaita tayari au?
msisitizie ajiandae vizuri maana ushindani unakua mkubwaMy sister ka apply hizi nafasi naomba Mungu aitwe interview nilimsaidia ku apply
Hahaaaa powamkuu ue unasoma comments za juu kwanza
Mwambie kuna zingine zimetoka za Procurement And supply.....My sister ka apply hizi nafasi naomba Mungu aitwe interview nilimsaidia ku apply
Nitamwambia Ila hyo ajira portal usipokuwa na diploma hyo ya procurement si wata mreject maana kasoma Mambo ya tax managementMwambie kuna zingine zimetoka za Procurement And supply.....
Ila kiukiweli ushindani nimkubwa....
Sawa mkuu weka dondoo mbili tatu hapa Ila licha ya ushindani Kuna wanaopitishwa kwa kujuana aiseemsisitizie ajiandae vizuri maana ushindani unakua mkubwa
Hivi kweli inawezekana kweli?Sawa mkuu weka dondoo mbili tatu hapa Ila licha ya ushindani Kuna wanaopitishwa kwa kujuana aisee
sio ukweli uwezo wako ndio utakupatia kaziHivi kweli inawezekana kweli?
Kuna mmoja aliajiriwa kwa kimemo Cha babake Yuko tra headquarter, Mana Mark's zilikuwa ndogoHivi kweli inawezekana kweli?
Huyo mtu namjua hata performance ya chuo almanusura a disco na juzi alikuwa na msala na takukurusio ukweli uwezo wako ndio utakupatia kazi