Nafasi za kazi TPDC

Safina

JF-Expert Member
Jun 18, 2009
497
64
Jamani kwa wale tuliofanya application ya kazi kwenye shirika la TPDC mwezi wa sita mwaka 2015.

Vipi wameishatoa majina ya watu wa kufanya usaili? na kama wametoa ni lini walitoa? nisaidieni jamani maana napenda kufanya kazi na hilishirika.
 
Bora ujiajiri tu....hilo shirika ni miongoni mwa yanayotakiwa kupunguza wafanyakazi.
 
khaaa we vp watu wanapiga mzigo hapa kazi tu."subiri utaitwa intake no ii.mwakani mwez jun.ila usinikot vibaya sawa?
 
Wewe ni tpdc public relation officer ama,

Anaejua kazi zinatangazwa lini au watu wataitwa lini kwenye usaili au kutangaza kuita watu sio public relation officer, ni Human resources officer.

Pili unaweza kujua jambo linaendaje mahala flani hata bila kua mfanyakazi wa mahala hapo. Kua na inside information za mahala sio lazima uwe unafanya kazi hapo, ni network yako tu.

Tatu, mimi sio mfanyakazi wa TPDC na sijawahi kua. Ni eiza ukubaliane na nilichokiandika au usikubaliane nacho mkuu.
 
kwa hiyo wewe unapenda kufanya tpdc..kwa nini hupendi kufanya kwenye halmashauri zetu?
 
kama kuna kazi huko kwenye halmashauri zenu niambie niapply mkuu mi sichagui
 
khaaa we vp watu wanapiga mzigo hapa kazi tu."subiri utaitwa intake no ii.mwakani mwez jun.ila usinikot vibaya sawa?

ni kweli kuna intake ya pili guys?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom