hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 18,672 Reaction score 27,610 Aug 1, 2017 #1 Singida united watoa nafasi ya kazi *TANGAZO NAFASI YA KAZI.* Tunahitaji watu wawili kwenye nafasi mbili zifuatazo. Sifa elimu ya kazi husika, uzoefu, umri kuanzia 25-40, makini na wanaotambua professionalism kwenye kazi. *NAFASI HIZO NI* 1.Daktari wa timu (wachezaji,) 2.Mpiga picha, awe na ujuzi kwenye. Kupiga picha aina zote, Graphics, Uandishi wa habari(Photo journalism), Video (editing). CV/Maombi yatumwe kabla ya 05/08/2017 singidaunited@yahoo.com festosanga52@gmail.com Imetolewa na Abdulrahaman Sima Katibu SINGIDA UNITED FC.
Singida united watoa nafasi ya kazi *TANGAZO NAFASI YA KAZI.* Tunahitaji watu wawili kwenye nafasi mbili zifuatazo. Sifa elimu ya kazi husika, uzoefu, umri kuanzia 25-40, makini na wanaotambua professionalism kwenye kazi. *NAFASI HIZO NI* 1.Daktari wa timu (wachezaji,) 2.Mpiga picha, awe na ujuzi kwenye. Kupiga picha aina zote, Graphics, Uandishi wa habari(Photo journalism), Video (editing). CV/Maombi yatumwe kabla ya 05/08/2017 singidaunited@yahoo.com festosanga52@gmail.com Imetolewa na Abdulrahaman Sima Katibu SINGIDA UNITED FC.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Aug 1, 2017 #2 sawa watakuja wasubiri lakini tangazo ndiyo limefika mwisho?