Nafasi za kazi Simba Logistics Limited

Nafasi za kazi Simba Logistics Limited

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
5,151
Reaction score
1,678
Kampuni ya usafirishaji ya Simba Logistics Limited Ltd (SLL) inawatangazia nafasi za kazi kwa madereva wa malori

NAFASI 75

Sifa za Mwombaji

  • Awe amehitimu na kutunukiwa cheti halali cha kidato cha nne au cha sita(mwenye vigezo zaidi atapewa kipaumbele)
  • Leseni halali ya Daraja E ambayo haijaisha muda wake
  • Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving course) yanayotolewa na Chuo Cha Ufundi Stadi (VETA) au chuo kingine kinachotambuliwa na serikali
  • Awe amehudhuria mafunzo ya uendeshajii malori ya mizigo (HDV/HGV Proffessional Driving) kutoka chuo cha NIT
  • Waombaji wenye cheti cha majaribio ya Ufundii Daraja la II watafikiriwa kwanza
  • Awe na uzoefu wa kuendesha malori aina zote (Pulling, Semi trealla, Itersem, Interlink nk)
  • Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed CV) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika
  • Awe na hati halali ya kitabu cha kusafiria (Passport Mpya ya Ki-Electroniki)
  • Cheti cha kutokua na maksa yoyote ya jinai toka polisi (Police Clearance Certificate)
  • Kadi ya chanjo ya homa (Vaccination Card)
  • Awe na namba za simu yenye mawasiliano whatsapp muda wote na yenye uwezo wa kupiga picha nzuri
  • Waombaji wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri kati ya miaka 30 – 45
  • Aambatanishe cheti cha utumishi kutoka kwa mwajiri wa mwisho
Jinsi ya kutuma
  • Tuma barua ya maombi iliyoandikwa kwa mkono na iambatanishe na picha ya mwombaji
  • Maombi yaambatane na barua ya utambulisho wa serikali za mtaa
  • Barua ya maombi iambatane na nakala ya vyeti vya taaluma na viambata tajwa hapo juu
  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa au kitambulisho cha uraia
  • Maombi yote yawasilishwe kwa PDF kupitia email julia@simba-logistics.com nakala kwa Michael@simba-logistics.com au yaletwe kwa mkono katika ofisi zetu zilizopo Tabata Matumbi Plot 1000, Nelson Mandela Road Dar es Salaam
  • Uwasilishwaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua
  • Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 28 Mwezi Mei 2020 saa 10 Jioni
 
Vigezo vingiii uliza malipo ya safari sasa ndio utajuta ndio maana wanaishia kupata madereva ambao sio mahiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom