Nafasi za Kazi Serengeti Breweries

Skyblue

Senior Member
Jan 3, 2014
196
55
Wakuu naomba nisaidieni jinsi ya kutuma maombi ya kazi kwenye hii company.... Tangazo lao nimeona zoom tz..nataka nziombe hizo..kama E-mail yao itumikayo kuapply pls help me.

Ntashukuru kwa msaada huu.
 
Yakishindikana kwa unayoelekezwa kupitia online kama upo Dar ibukia pale ofisini kwao mkuu nenda tu direct upate alternative nyingine
 
Kiongozi haya makampuni makubwa nowdayz yanatumia mifumo ya kompuyta (portal systems) kufanya recruitments na pia lazima uwe mwangalifu na makini zaidi kujaza taarifa zako kwenye hiyo mifumo...
Nenda ujaribu kufanya hivyo, ukishindwa huwa kuna namba za simu ambazo huwa ziko pale kwa ajili kutoa msaada..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom