Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,502
- 21,597
Itabidi kwa waliopo Dar watuambie vizur, baada ya kufika ofisini kwaoHata Mimi nacheki silioni
But kama ni utapeli basi ni wa kiwango cha rami
Ulipopeleka walikuambia nnSi wamesema barua zipelekwe direct kwenye ofisi zao na hakuna fee yoyote unayopaswa kulipa...!
Aidha ukiombwa ulipie pesa unatakiwa utoe taarifa makao makuu...!
Fafanua kidgo mkuuHuo ni utapeli acheni kuhangaika
sent from toyota Allex
Kwan hata kwa njia ya posta c unatumaHawa nao wazinguaji tu Bado wana Mambo ya kizamani wanataka kila mtu aende na bahasha lake katka ofisi zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilivyoelewa ni kwamamba upeleke kwa mkono au nimeelewa vibaya?
Email na njia zote za kimtandao ndizo walizokataa ila posta na mkono inaruhusiwaMi nilivyoelewa ni kwamamba upeleke kwa mkono au nimeelewa vibaya?
Sent using Jamii Forums mobile app