Think Again
Senior Member
- Mar 22, 2015
- 175
- 129
check network yako mkuu
Poa poa mkuu
check network yako mkuu
Kuna mtu yuko kwenye Taasisi fulani hapa Dar aliniambia kua wakishatanganza nafasi za kazi hua wanapokea applications kwa siku mbili au tatu tu . Then wana disturb system ili watu wasiendelee kutuma application zao kwa kua tayari wanakua wameshapokea applications za kutosha. Kwa hio tangazo likitoka omba fasta usisubirie deadline .
Habari zenu wanajamvii, mi nimeeka transcript vp kuna possibility ya kuitwa kwa interview?wachangiaji wote wako sawa,ingia ppf portal create account,then log in,mkono wa kushoto kuna vipengele amabavyo unatakiwa uvijaze then ukimaliza chini kuna kipengele kimeandikwa apply for job,click hapo utakutana na post zote,then click unayoitaji,utaambiwa uandike application letter na vyeti ktk pdf form then upload isizidi 5mb,ukifanikiwa watakwambia conglatulation your application is suscesfull...............KILA LAKHERI KWA WAOMBAJI