Jaman mwenye tangazo la kaz baraza la mitihan atupie hapa nasikia lipo kwenye kazet la mwananch la leo tafadhal wengne tupo mbali
hizi post za leo walishatangaza utumishi wa umma na intervw tulifanyaga, kule mbezi juu uwanja wa baraza la mitihani. mwezi tano mwaka. Au waliopta kuendelea na oral hawakufanya vizur waliangukia pua?
Necta wanataka lazima mtu awe amesoma education hata kwa diploma dah mbona wamebana sana
Omba tu hyo education ni added advantages,nipm mkuu
vipi unamchongo na mimi nikupm?
sina mchongo mkuu.ramani hazisomi mpka naona wenge
​Ni kweli kabisa mdau,kazi za NECTA huhitaji sana walimu,labda zile za IT,UHASIBU,ULINZI,UDEREVA ila wengi ni walimu,aidha wa kutoka mashuleni au wa kutoka wizarani.Na hata tangazo lao wamesema kabisaaaa wanataka walimu.Mkuu naskia pale wengi ni walimu eti ni kweli pedeshee?? Ngoja niwatag walimu wenzako grafani11 geniveros Mkoroshokigoli
Technician Kama yupo humu aniPm