Wapi? Lini? Nafasi za cheo gani? Sifa? Chanzo?
Kwa jinsi alivyoanza na hiyo "je" inaonesha ni swali, hivyo anauliza kama nafasi zimetoka ila amesahau kuweka alama ya kiulizo mwisho.
Wapi? Lini? Nafasi za cheo gani? Sifa? Chanzo?
je nafasi za kazi migration zimetangazwa?
Duh,msiwe watu wa ku ignore kila andiko guys,mbona alama ya kuuliza iko mwisho wa sentensi yake jamani,unajua kama huna cha kusema siyo lazima uchangie,unaweza pita kimya kimya tu bt kama unajua ni vema kuelekeza,tuwe waelewa na wastaarabu ktk hili.,people are serious bt nyie wachache mnaleta mzaha na utoto tu,,au ndiyo aliyeshiba hamjui mwenye njaa...?
Hawa jamaa ajira zao huwaga ni zakujuana.Kama huna unayemjua pale sahau
Really??
Nahisi nimeona comment kama hii kwenye kila post za kazi humu ndani, tena zaidi ya mara moja.
Inaku cost nini mtu kuwa a little positive na kutia moyo wenzako? Kha!!!!
Sina tabia ya kumpaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa.Hawa jamaa wanachukuaga mwisho form six tu na mnaweza mkaitwa kwenye usaili kama geresha lakini chance tayari zina wenyewe.Kama huamini endelea na kutoamini kwako just because i can not force you to believe what am saying.
Sina tabia ya kumpaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa.Hawa jamaa wanachukuaga mwisho form six tu na mnaweza mkaitwa kwenye usaili kama geresha lakini chance tayari zina wenyewe.Kama huamini endelea na kutoamini kwako just because i can not force you to believe what am saying.
je nafasi za kazi migration zimetangazwa?
We n kitasa kma mwenye ubin wa jina lako
Ninamjua Yesu wa Nazareti ndiye atakayenipatia kazi hapo.Hawa jamaa ajira zao huwaga ni zakujuana.Kama huna unayemjua pale sahau