Nafasi za kazi mgahawani

Nafasi za kazi mgahawani

ladybutterfly

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
215
Reaction score
59
Upcountry Kitchen Taste iliyopo Mweka -Moshi inatangaza nafasi za kazi zifuatazo;

1.nafasi ya kuhudumia wateja ( Service)
2.mpishi ( Chef)

Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa Kilimanjaro-Moshi

Wasiliana nasi kwa namba 0752808396
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 26/3/2025
 
Asante mkuu,ila ungamsaidia ndugu yangu apate kazi hapo ningekushukuru na ungebarikiwa sana sana.Yupo huko Arusha. Anateseka sana
 
Mweka ni porini sana kwa kijana wa kileo kwenda kufanya kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom