Nafasi za kazi mgahawani

Nafasi za kazi mgahawani

ladybutterfly

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
215
Reaction score
59
Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste uliyopo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi 2 za wahudumu.

Muombaji awe wa jinsia ya kike na mkazi wa Kilimanjaro, awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea pia awe na mafunzo ya kutoa huduma mgahawani angalau ngazi ya cheti, mwenye uzoefu atapewa kipaumbele. Muombaji awe smart, msafi, anayejituma na anayejitambua.

Huduma ya chakula cha asubuhi, mchana na usiku pamoja na makazi zinapatikana hapo hapo.
Maombi yote yatumwe kupitia namba hii ya simu

0754465412

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom