Hao jamaa sitaki hata kuwasikia ni wababaishaji sana halafu wana udini kweli kweli, nilitoka mkoa kua attend interview wakanipigia simu niko kwenye gari wakaniambia wameahirisha week nzima, N.B kwa mtakaoitwa all the best, ila kwangu mm walinipotezea muda na nauli is the worst interview moment in my life time up to now.All the best brotherz an sisterz