Nafasi za kazi h/w mufindi

Nafasi za kazi h/w mufindi

PANTA

Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
47
Reaction score
5
Wanajamvi Halmashari ya wilaya mufindi wametangaza kazi za watendaji wa vijiji(post 16), watunza kumbukumbu(post 6) maombi yote yatumwe kwa Mkurugenzi mtendaji P.O.BOX 223 MAFINGA
 
samahani mkuu naomba niulze utofauti kati ya hiyo wilaya ya mufindi na mafinga
 
Tofautisha kwanza kati ya ruvuma na songea, rukwa na sumbawanga, Mara na musoma. Ukiweza basi umeweza na mufindi na mafinga
 
Mbao na chai ndio tegemeo la wilaya..ni moja ya wilaya Zenye mapato makubwa Taifa...
 
Back
Top Bottom