Sio
Sio test hii lakini
Sidhani kama hilo jambo linawezekanawakuu hivi ikitokeaga umetumiwa email ya aptitude test na hukuiona on time so hujafanya unaweza kuwaandikia email kuomba wakutumie tena au inakuwaje?
Alikua na speed gani huyo ya kusoma swali kuelewa kwenda gugo kutafuta jibu .na alitumia dakk 36..According to yy anasema ni apptitude hii tulizofanya...sa sjui alitumia google ya mbondole au wapi
Sent from my iPhone using JamiiForums
😂😂😂😂😂😂😂 Tunakupuuza rasmi. Inawezekana your Diagnosed with mental issues 😂😂nashukuru sana mungu kwa kupata hii kazi, simini macho yangu wakuu
Jibu basi PM mkuu..nashukuru sana mungu kwa kupata hii kazi, simini macho yangu wakuu
Jamii Forum Group😂😂😂😂😂😂😂 Tunakupuuza rasmi. Inawezekana your Diagnosed with mental issues 😂😂
Link ya ilo group la whatsup ipo wapi niwawekee ushaidi kwenye group mkuu
Jamii Forum GroupLink ya ilo group la whatsup ipo wapi niwawekee ushaidi kwenye group mkuu
Sasa na vivuruge si wataingia tu?
Tuna wa remove tuu wakileta usoroSasa na vivuruge si wataingia tu?
HahahaKuna jamaa aliwah kutumiwa email ya test anasema maswali yote ali google na majibu yapo na amafanya within 36 minutes...ila kapata 73 ss hajui nn shida
Sent from my iPhone using JamiiForums
Weka basi.B seriousLink ya ilo group la whatsup ipo wapi niwawekee ushaidi kwenye group mkuu
Alikua na speed gani huyo ya kusoma swali kuelewa kwenda gugo kutafuta jibu .na alitumia dakk 36..