Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

Zone nyingine huko nasikia wao walipigiwa simu, kuambiwa hayo mnayosema mmeambiwa kwenye email.
Afu hamna kinachoendelea baada ya kuambiwa umefaulu....nawajua watu walipigiwa simu zone ya kusini wakaambiwa wamefeli.

Swali ni kwamba hata walio ambiwa wamefaulu hata kazi hawajapewa.
 
Nasikia waliofaulu nao waliambiwa wataitwa kadiri ya ufaulu wao na kuna ambao washaingia kazini tayari.
 
Kuna madogo nawajua juzi wapo wawili mtu na dada ake wapo training now wao mzee wao ni mtu mkubwa sana na Mama yao ni Director madogo wamepigiwa connection tu hakuna interview
 
Hizi kazi nyie acheni tu! Niliwahi itwa interview Stanbic Bank,miaka ya 2014 hivi huko nyuma!

Tukiwa pale HQ Stanbic tunasubiri kufanya usaili,kuna dada mmoja nilisoma nae chuo,akaniona akaniita,akauliza umekuja kwa ajiri ya interview, nikajibu ndiyo,alicheka sana!

Kwa kunisaidia aliniambia live kabisa kua hiyo kazi ni yake,na barua ya ajira alinionyesha,nilifanya interview kinyonge sana,maswali yao sasa,yakijinga jinga tu,na huyo MD wa Stanbic ni bwana wake,so wanafanya interview just for geresha tu! Hiyo kazi ni yake,na kweli alifanya kazi pale,baada ya bwana ake kufukuzwa kazi pale kwa sababu ya mambo flan,na yeye alifukuzwa kazi..

Hakuna siku niliyoumia kama siku hiyo! Nilisema kama ndo hivi, bora nifanye biashara tu!

Kwa hiyo wadogo zangu najua maisha yakitaa ni magumu sana,hadi unaweza sema hivi kwa nini nilisoma,lakini kama unaweza fanya kitu tofauti na elimu yako fanya,kama hakikuvunjii utu wako na hakivunji sheria za Tanzania!!

Hata saidia fundi fanya,kubeba mizigo pale Ubungo piga,konda wa daladala piga,

Godwin Gondwe alianzia kufanya kazi Mortuary, lakini leo hii jamaa anang'aa nakuwaka!!
Oh ahsante kwa ushuhuda na kututia moyo ndugu.
 
Natoa mrejesho wangu, nilifanya oral southern zone march mwishon, nakumbuk kulikuwa na public holiday day after ndio nilifany interview. Bussiness center mtwara.

Interview ilikuwa fair na sio ngumu, nilifanikiwa kuitwa week 1 baada, shida ikaanzia kwenye mkataba, 1 year renewable unalipwa 370k per month nafas zilikuwepo za kwenda ruvum songea n sumbawanga, na sio Bank officer waliniambia DSS.

Msijali Mungu n mwema mtaitwa, Binafsi sikukubali kwa kuona mkataba wao

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Kama huna kazi yenye zaidi ya 370 per month basi ulifanya chaguo ambalo sio optimal.

Nna ndugu yangu mmoja naye aliitwa hiyo ya interview mtwara na yupo kazini, aliniambia kuna mtu alipangiwa akakataa.. kumbe ni wewe ndo ulikataa?
 
Hizi kazi nyie acheni tu! Niliwahi itwa interview Stanbic Bank,miaka ya 2014 hivi huko nyuma!

Tukiwa pale HQ Stanbic tunasubiri kufanya usaili,kuna dada mmoja nilisoma nae chuo,akaniona akaniita,akauliza umekuja kwa ajiri ya interview, nikajibu ndiyo,alicheka sana!

Kwa kunisaidia aliniambia live kabisa kua hiyo kazi ni yake,na barua ya ajira alinionyesha,nilifanya interview kinyonge sana,maswali yao sasa,yakijinga jinga tu,na huyo MD wa Stanbic ni bwana wake,so wanafanya interview just for geresha tu! Hiyo kazi ni yake,na kweli alifanya kazi pale,baada ya bwana ake kufukuzwa kazi pale kwa sababu ya mambo flan,na yeye alifukuzwa kazi..

Hakuna siku niliyoumia kama siku hiyo! Nilisema kama ndo hivi, bora nifanye biashara tu!

Kwa hiyo wadogo zangu najua maisha yakitaa ni magumu sana,hadi unaweza sema hivi kwa nini nilisoma,lakini kama unaweza fanya kitu tofauti na elimu yako fanya,kama hakikuvunjii utu wako na hakivunji sheria za Tanzania!!

Hata saidia fundi fanya,kubeba mizigo pale Ubungo piga,konda wa daladala piga,

Godwin Gondwe alianzia kufanya kazi Mortuary, lakini leo hii jamaa anang'aa nakuwaka!!
True story, usiombe ikukute inaumiza sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom