Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

Haya hayaaaaa kumenogaaaaa!
Wimbi la kelele litapungua baada ya CRDB kupunguza vijana kitaa kwani zaidi ya vijana 200 soon watalamba dume Huenda hii ikapunguza jam pale NMB na Utumishi
 
Kuna nafasi 100 za Direct Sales Executive
Kuna nafasi 100 za Business Development Officers plus other vacancies.
Tarehe 15 Jumatatu Training inaanza kila kanda nchi nzima.... so hapo lazima kuna ambao walikuwepo katika waliopata 80% and above ya NMB aptitude au nafasi zingine mbali mbali. So watakapoanza kazi wataweza kutoa fursa kwa wengine kupata nafsi.... umenielewa?
 
Hizi nafasi toka mwezi wa pili sijui wa kwanza ndo wanaita watu kipindi hiki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom